Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi i ilianzishwa mwaka 2018 kutokana na mabadiliko yaliofanywa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uwezo alio pewa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kifungu namba 42(1) toleo la 2010 na kukabidhiwa majukumu ya kusimamia na kuendeleza Sekta za Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa maendeleo ya Wananchi wa Zanzibar.
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi
S.L.P 238
Simu: +255 242941193
Barua pepe : This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.